Friday, September 2, 2016

TUSHEREKEE PAMOJA.

Image result for birthdayNAWATAKIA BIRTHDAY NJEMA.

Cute romantic bedtime stories


Once a boy went to a party with his girlfriend. 
After they came back. On the way 
Boy: You are really beautiful today.
Girl: Ok. I am not pretty.
Boy: No you are not..
Girl: But Ayush told me I am hot. Am I not?
Boy: No you are not.
Girl: My friends told me that I am gorgeous. Am I not?
Boy: No you are not. 
Girl: Started to cry
Boy: You know..
When a boy calls you hot,
they look at your body.
When a boy calls you pretty,
they look at your face.
When a boy calls you gorgeous,
they look at your clothes.
But when they call you beautiful;
they see everything.
Girl: I am really sorry. I love you so much.
Boy: I love you too...

Thursday, September 1, 2016

Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha tano Awamu ya pili



Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. 

Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana 2,413 na wavulana 1,505 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili kwa ajili ya kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wanafunzi ambao hawakuripoti awamu ya kwanza.
 
Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 1,864 wakiwemo wasichana 1,099 na wavulana 765 sawa na asilimia 47.58 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 2,054 wakiwemo wasichana 1,314 na wavulana 740 sawa na asilimia 52.42 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara.
 
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2015 wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya tangazo hili atakuwa amepoteza nafasi hii.
 
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2016 inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz 

Imetolewa na Katibu Mkuu,
OR-TAMISEMI 

Saturday, August 20, 2016

Short Cute Love Story .


Once there was a boy fall in love with a girl.

He came to that girl and asked her do you love me?
Girl: I don't. I am also unknown to you. 
Boy: But I know you and I love you so much. 
Girl: I don't believe that you are in love with me.
Boy: I promise to you that I am in love with you. 
Girl: Don't said lie to me. Because I know boys are saying like that always. 
Boy: Trust me I promise to you I am in love with you,
 and The next girl I will ever love on earth will be our daughter'.

Wednesday, August 17, 2016

A love story.


BOY: I need someone 
to talk ..
Girl: I am always here

for you.
BOY: I know.
Girl: Whats wrong?
BOY: I like her so much..
Girl: Talk tu her..
BOY: I don't know..
she'll never like me.
Girl: Don't say that.
You are amazing.
BOY: I just wanna tell her how I feel ..
Girl: Then tell her.
BOY: She wont like me.
Girl: How do you know that?
BOY: I can just tell.
Girl: Well just tell her.
BOY: What should I say?
Girl: Tell her how much you like her.
BOY: I tell her that daily.
Girl: What you mean?
BOY: I am always with her. I love her.
Girl: I know how you
feel. I have the same
problem. But he'll never like me.
BOY: Wait. Who do you like?
Girl: Ooh some Boy..
BOY: Ooh she wont
like me either.
Girl: She does.
BOY: How do you know..?
Girl: Because who wouldn't like you?
BOY: You..
Girl: You are wrong. I love you.
BOY: I love you too.
Girl: .. so are you going to talk to her?
BOY: I just did

Thursday, June 30, 2016

JEE, UNA TATIZO LA KUKOSA HAMU YA MAPENZI?

Hamu Ya Kufanya  Mapenzi
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi au kukosa nyege kwa lugha ya mitaani huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume lakini ni wanaume wanaokerwa zaidi na tatizo hili kulio wanawake. Wakati ambapo ni asilimia 15 hadi 16 ya wanaume wenye tatizo hili, idadi ya wanawake ni mara mbili ya hii ya wanaume. Lakini wakati ni asilimia 23 ya wanaume wanaonyesha kuridhika kuishi na tatizo hili, asilimia 46 ya wanawake wapo radhi kabisa kuendelea kuishi na tatizo hili.
Si lazima kuendelea kuishi na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa sababu kuna mambo mengi unayoweza kuyafanya ili kuondokana na hili tatizo.
Hali ya kupenda kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa mwanamke inabadilikabadilika sana ikipanda na kushuka kulingana na matukio mbalibali yanayomtokea katika maisha yake. Baadhi ya matukio yanayoathiri hamu ya mwanamke kufanya mapenzi ni pamoja na kuanza na kwisha kwa mahusiano ya kimapenzi na mwanamme, kupata ujauzito, na magonjwa. Kama wewe mwanamke umepatwa na ha hii unaweza kukabiliana nayo kwa kubalisha jinsi unavyoishi, kufanya mambo kadhaa yatakayo badilisha hali hii au kutumia baadhi ya dawa zinazosaidia kuondoa tatizo hili.

Jee, Utajuaje kama Una Tatizo?

Kuna vitu vingi ukiviona vinakutokea, ujue una tatizo hili la kukosa hamu ya kufanya mapenzi.Tulivijadili viashiria hivi kwa kina tulipozungumzia tatizo hili la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa wanaume. Unaweza kusoma tulivyojadili kwa kusoma ukurasa huu “Mwanamme Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa.”
kukosa nyege

Sababu Za Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa

Sababu zinazoweza kupelekea mwanamke kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni nyingi lakini kwa ujumla karibu zote tunaweza kuzigawanya katika makundi manne:
1. Mahusiano Baina Ya Mwanamke Na Mwanamme                                     Kwa wanawake walio wengi ukaribu wa kihisia ndicho kitu cha kwanza katika kujenga mapenzi kati yake na mwanamme. Hivyo, mahusiano mabovu yaweza kuwa ndicho chanzo cha kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke. Mwanamke atakosa hamu ya kufanya mapenzi endapo hakutokuwa na mawasiliano baina yake na mumewe, kutakuwa na migogoro kati yake na mumewe isiyokwisha, kutakuwa na ukosefu wa mawasiliano kuhusu mahitaji yake ya kufanya mapenzi na jinsi ambavyo yeye angependa kufanyiwa kimapenzi na kama atahisi kuna ukosefu wa uaminifu katika ndoa au mahusiano yao.
2. Matatizo Katika Maisha Yako                                                                                Matatizo mbalimbali katika maisha ya mwanamke humsababishia kukosa hamu ya kufanya mapenzi. Baadhi ya matatizo ambayo huweza kusababisha mwanamke kukosa hamu ya kufanya mapenzi ni pamoja na magonjwa, mabadiliko katika mwili wake na hata matumizi ya baadhi ya madawa:
Matatizo Katika Kufanya Tendo La ndoa. Kama mwanamke anapata maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa au kama mwanamke anakosa kufika kileleni, hali hii inaweza kusababisha akakosa kabisa hamu ya kufanya mapenzi.
Matatizo ya afya. Magonjwa mengi husababisha mwanamke akose hamu ya kufanya tendo la ndoa. Baadhi ya magonjwa ni maumivu ya viungo vya mifupa (arthritis), kansa, ugonjwa wa kisukari, high blood pressure, matatizo katika mishipa ya damu ya arteri na matatizo ya akili.
Matumizi ya madawa. Baadhi ya madawa yakitumiwa, huondoa kabisa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke. Mfano wa dawa hizo ni madawa ya kukabiliana na msongo wa mawazo.
Mtindo wa maisha. Matumizi ya pombe kuzidi kiwango, uvutaji wa sigara na madawa ya kulevya huathiri hamu ya kufanya mapenzi.
Upasuaji. Upasuaji uliofanyika katika maeneo ya maziwa au katika maeneno ya viungo vya uzazi humbadilishia mwanamke mwonekano wake, huathiri ufanyaji kazi wa viungo hivyo na mwisho kuathiri hamu yake ya kufanya mapenzi.
Uchovu. Uchovu unaotokana na kulea watoto wadogo au vikongwe huweza kuathiri hamu ya mwanamke ya kufanya mapenzi.
3. Mabadiliko Katika Mfumo Wa HomoniKukoma Hedhi.Mabadilko ya viwango vya homoni katika mwili wa mwanamke yanaweza kusababisha kukosa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke. Kupungua kwa Estrogen katika mwili wa mwanamke katika kipindi cha kuelekea kukoma hedhi kunaweza kusababisha ukosefu wa hamu ya kufanya mapenzi. Upungufu wa homoni hiyo husababisha uyabisi wa wa viungo vya sehemu nyeti na kusababisha maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa.
Mwanamke pia huweza kuwa na upungufu wa homoni ya testosterone, homoni ambayo husaidia kuongeza hamu ya kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake, hivyo mwanamke huyo akapungukiwa na hamu ya kufanya mapenzi.
Pamoja na kuwa wanawake wengi huendelea kupata hamu ya kufanya mapenzi baada ya kukoma hedhi, baadhi kupungukiwa na hamu hiyo baada ya mabadiliko haya ya viwango vya homoni katika miili yao.
Ujauzito na kunyonyesha. Mabadiliko katika mfumo wa homoni wakati wa ujauzito, baada ya kujifungua na wakati wa kunyonyesha huweza kusababisha mwanamke kukos hamu ya kufanya tendo la ndoa.
4. Matatizo Ya Kisaikolojia                                                                                             Matatizo ya kisaikolojia yana mchango katika kumfanya mwanamke akose hamu ya kufanya tendo la ndoa. Baadhi ya mtatatizo hayo ni:
  •  Waswasi na kuwa na msongo wa mawazo
  •  Kuwa na mawazo mengi kuhusu matatizo ya kifedha au kikazi
  •  Kuhisi kutothaminiwa katika jamii
  •  Kuwa na historia ya kunyanyaswa kimwili au kijinsia kama kupigwa   au kubakwa
  •  Kuwa na historia mbaya ya kimapenzi
  •  
    kukosa hamu ya mapenzi

    Njia Za Kuondoa Tatizo La Kukosa Hamu Ya kufanya Tendo La Ndoa

    Hakuna dawa ya moja kwa moja toka hospitalini kwa sasa hivi kwa ajili ya kuondoa tatizo hili, hata hivyo wanawake wengi wanaweza kurudi kwenye hali zao za kawaida kwa kushirikiana na waume zao waelewa. Jaribu kufanya mambo tuliyoyadokeza katika mada yetu ya “Mwanamme Kukosa hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa” ukisaidiana na mumeo. Unahitaji kuchunguza taratibu na kwa kina chanzo cha tatizo lako, na taratibu lifanyie kazi kwa msaada wa mume wako.
    Katika nchi zilizoendelea, kila siku wamekuwa wakija na dawa na vifaa vipya vya kuondoa tatizo hili na vingi bado ni vya bei kubwa na/au vinapatikana kwa shida. Vipo ambavyo vimeonyesha mafanikio makubwa, mifano ya vitu hivyo ni Suction Vibrators, Desire Creams na Erection Drugs.
    Unaweza kupata mafanikio makubwa  (wasomaji wangu wengi wamefanikiwa na kunishukuru) kwa kutumia chakula kinachosaidia kuongeza hamu au kwa kutengeneza na kutumia viagra asilia. Hivi nimevielezea hapa chini. Kama hivi bado havijakusaidia, nashauri utumie virutubisho vya mwili ambavyo husamabazwa na makampuni mbalimbali. Vipo vinavyofanya kazi kwa haraka na kutibu kabisa tatizo hili. Endapo umepata tatizo kutambua virutubisho vizuri vya kutumia, wasiliana nasi kwa kutumia njia yo yote iliyo rahisi kwako kati  ya  hizi nilizoziorodhesha chini ya ukurasa huu.

    Chakula Cha Kuongeza Hamu Ya Mapenzi

    Utafiti umeonyesha pasi shaka kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya chakula tunachokula na afya ya viungo vya uzazi. Baadhi ya chakula na virutubisho vimehusishwa na hamu ya kufanya mapenzi (nyege). Vitubisho ndani ya chakula ambavyo vinasaidia hali hiyo ni antioxidants, vitamin C, vitamin E, potassium na zinc. Kirutubisho cha zinc kinaongeza mbegu kwa mwanamme (sperm count) hivyo humsaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Chakula cho chote chenye virutubisho hivi vikiliwa humfanya mlaji asikie hamu ya kufanya mapenzi au kwa maneno ya mtaani, chakula hiki kinasaidia kuongeza nyege. Baadhi ya chakula cha kuongeza nyege ni:
    Tikitimaji-Hili linachukuliwa kuwa ndilo tunda bora katika kuboresha afya ya mapenzi. Tunda hili lina asilimia 92 ya maji na asilimia 8 zinazobakia zina phytonutrient citrulline ambayo hugeuzwa kuwa arginine. Arginine ni amino acid ambayo hufanya mishipa ya damu kuwa kwenye hali ya ubora wake na kusadia damu kupita vizuri zaidi. Tikitimaji kwa hiyo husaidia damu ifike kwa kiwango kizuri zaidi kwenye sehemu ambazo hutakiwa kutanuka wakati mtu akipata hisia za kufanya tendo la ndoa ambazo ni viungo vya ndani ya kisimi cha mwanamke na ndani ya uume wa mwanamme.
    chakula cha kuongeza nyege
    Strawberries– matunda haya yana antioxidants kwa kusaidia afya ya moyo na mishipa ya damu (arteri) na vitamin C ambayo huongeza kiwango cha mbegu kwa mwanamme.
    matunda ya kuleta nyege
    Pombe-glasi moja ya mvinyo hukufanya uwe na akili tulivu. Pombe kwa kiwango kikubwa huleta kinyume cha matarajio na kuondoa kabisa hamu ya mapenzi.
    Avocadro-tunda hili lina vitamini E ambayo ni antioxidant. Ndani ya tunda hili kuna potassium na vitamini B6 ambavyo huboresha afya ya moyo na kusaidia mzunguko wa damu.
    matunda ya kusidia hamu ya mapenzi
    Viazi vitamu-hivi vina potassium ambayo husaidia kuondoa tatizo la high-blood pressure.
    viazi huleta nyege
    Chakula kingine katika kundi hili ni broccoli (picha hapa chini), karafuu, mayai na tangawizi.
    mboga kwa kusaidia kuleta nyege
    Kuna mchanganyiko wa matunda ukisagwa pamoja na kunywewa umeonyesha kuongeza hamu ya kufanya mapenzi au kuongeza nyege. Nilionyesha namna mbili za kutengeneneza mchanganyiko huo na nikauita “Viagra asilia.” Nitaongeza mchanganyiko wa tatu wenye matunda mengi zaidi ili uweze kuchagua ule utakaoona ni rahisi zaidi kuutengeneza.

    Jinsi Ya Kutengeneza Viagra Ya Asili

    Kusanya matunda kama yanavyoonyeshwa kwenye video hii hapa chini, saga kwa pamoja katika blender na kisha kunywa glasi moja ya mchanganyiko huo. Hakuna kipimo kamili cha kutumia, lakini ukipata glasi tatu kwa siku utapata mabadiliko ya kutosha kabisa. Wapo watu wengi waliofuata ushauri huu, wakanipigia simu kuwa hali zao zimekuwa nzuri sana baada ya kutumia kinywaji hiki. Jaribu kisha nipe matokeo.
    Kama umeshindwa kupata matunda yote kwa kutengeneza viagra hii asilia, nenda ukurasa wa “Mwanamme Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa” ambamo nimeelezea viagra asilia ya matunda mawili tu, tikiti maji na limau.
    viagra ya asili ya matunda
    Kama una swali lolote au maoni yako kuhusiana na mada hiyo hapo juu, usisite kutuandikia. Pia usisite kuomba ushauri zaidi pale ulipojaribu njia hizi ukakwama mahali.

Sunday, June 26, 2016

Ladies Take Note! If Your Man Has These 10 Qualities, Don't Ever Lose Him To Anyone.



It may prove difficult to find a great guy in our contemporary world but there are indeed great guys and they have these traits below in them.

Here's a list of 10 universal good-guy qualities that can help get you started.

1. He's kind to everyone

Not just you on your best day but you on your worst. Same goes for the waiter who brought the wrong appetizer, his coworkers, his family (and yours), and pretty much everyone. Someone who is genuinely kind spreads kindness wherever he goes.

2. He's genuinely happy

A happy person is not only a healthy person but also someone who is optimistic and fulfilled. Who wouldn't love a life with someone like that?

3. He loves you

Yeah, I know, duh. But I mean the real you. Not just the way you look or the things you do for him or the fact that you are conveniently 4 inches shorter, also love staying in on Friday nights, and get along with his family.

He must love the unique things about you, like how you're always 30 minutes late to everything, how you put exactly three lemons in all your drinks, the long-winded way you tell a story, or how you always need the toilet paper roll so that the top flap faces down.

4. He takes care of you

5. He makes you smile

When you're with him, and when you think about him.

6. You can be yourself around him

No matter how much you might be into someone, it's never going to be real until you can let down your guard around him.

7. He's the only one you fantasize about

8. He spends like you

A guy who's on board to make your fantasy tour-de-France vacation a reality? Fantastic. A guy who then complains about every dollar you want to spend on said trip? No bien.

If springing for the good rosé and staying in a schmance hotel is your idea of fun, you need a guy that gets it. Money is the root of a lot of relationship issues, so being on the same page about spending is crucial.

9. He doesn't put up with your crap

Whether it's yelling instead of talking, being passive-aggressive when you're upset, or some sort of family/work issue you're taking out on him. He knows your patterns and not only talks to you about them kindly but offers support when and where you need it.

Someone who can see you to your very core, accepts your flaws, and only wants to help you be a better person? That's love.

10. He puts you first

When it comes down to it, you are the No. 1 most important person in his life, and there are no questions about that.

If his friends want to do a guy's weekend in Vegas, he says no because he's got a good thing going with you, doesn't want to get into trouble, and knows it will mean missing that concert you really want to go to. And if his mom hates the wallpaper you chose for your first apartment together, you'll never find out, because he tells her if you're happy, he's happy, and that's the end of it.