Friday, April 22, 2016

Wanasayansi Wana Jibu Hili Tendo la Ndoa Hudumu Kwa Muda Gani? Wanasayansi Wana Jibu Hili SWALI.

Ni muda gani tendo la ndoa (ama nalisema kiheshima sana?) Au niseme ni muda gani watu wanaofanya mapenzi hutumia kumaliza?

Na sasa wanasayansi wamekuja na jibu halisi kuwa kitendo cha ngono hudumu kwa dakika 5.4.
Wanasayansi hawa wanazungumzia ule muda ambao mwanaume na mwanamke huwa tendoni na kufikia kileleni, bila kuweka muda wanaotumia kushikana, kubusiana au kuchezeana.

Wanasayansi hao walifanya utafiti kwa couple 500 na kuwaweka stop watch pale tu kitendo kinapoanza hadi pale mwanaume anapoutua mzigo. Utafiti huo ulibaini kuwa kitendo hicho hudumu popote kuanzia sekunde 33 na 44 huku muda wa wastani ukiwa dakika 5.4.

No comments:

Post a Comment